How a combination of interventions is helping mango farmers avoid losses


Wakulima wa maembe katika Kaunti ya Makueni wamesaidika kupunguza hasara baada ya Serikali ya kaunti kuweka mbinu mbali mbali ili kuwaepusha na hasara hizo zilizoletwa na ukosefu wa soko na mazao kuliwa na wadudu waharibifu. Kwa kuwaundia kiwanda cha kusagia maembe na kuwaelimisha jinsi ya kutumia mitego badala ya kemikali ili kunasa wadudu waharibifu, wakulima wa maembe wameweza kupanua soko yao na kufikia hadi soko za kigeni.

Related Stories