Makala Ya Jinsi Sekta Ya Aya Ilivyoimarika Baada Ya Ugatuzi Kwale


Ujio wa ugatuzi umepunguza changamoto zinazoandamana na safari za mbali kutafta huduma za afya katika Kaunti ya Kwale. Kupitia mfumo hii, serikali ya kaunti imeweza kutenga fedha za kujenga zaid ya vituo vya afya 37 katika maeneo mbali mbali na kurahisisha jinsi wakaaji wanapata huduma za afya. Vituo hivyo vinapeana huduma mbali mbali za afya ikiwemo huduma za kujifungua, madawa na maabara na kadhalika.

Related Stories