Taswira Mpya Ya Majaa Mombasa


Ushirikiano kati ya serikali ya Kaunti ya Mombasa na shirika za kibinafsi kama Kampuni ya Mombasa Cement yabadilisha taswira ya jaa ya taka la Kibarani kuwa bustani ya kisasa.Mbinu ambazo zimetumika kuleta mabadiliko hayo ikiwa kupiga marufuku kutupa taka kwa jaa hilo, kushirikiana na vijana kutoa taka na upandaji wa miti.

Related Stories