Ugonjwa Wa Kichocho


Idara ya afya nchini Tanzania ilianzisha ratiba ya kutoa tiba ya ugonjwa wa kichocho katika taasisi za umma. Sawia na kupeleka maji masafi ya wanafunzi kunywa.Serikali inapeleka dawa shuleni ambapo walimu wanawaptia watoto dawa kulingana na kipimo cha urefu.

Related Stories